top of page

thank you FOR supporting our 2024 16TH ANNUAL GALA:
MITI INA MIZIZI – TREES HAVE ROOTS

IMG_7915.heic

The Olive Branch for Children

Kuhusu

The Olive Branch For Children (“ TOBFC ”) husaidia jamii zisizo fikiwa kirahisi nchini Tanzania ili kupata  mahitaji yao ya msingi na kuanzisha miradi inayowalenga wahitaji zaidi katika jamii hizo. Tunazingatia kinga na matunzo ya VVU/UKIMWI, elimu ya utotoni, chakula, masuala ya mazingira, usawa wa kijinsia,  watoto na wanawake walio katika mazingira magumu. Lengo ni kuanzisha miradi inayosimamiwa na jamii ili kuiwezeja jamii iliyo katika mazingira magumu kujikwamua  na kutengeneza mfumo wa kuigwa na jamii zingine Tanzania.

TOBFC_21_DonateButton_Web.png
IMG_8401 2.HEIC

Asante kwa 2021 leading program sponsor 

Asante kwa 2021 leading program sponsor 

MSK_CrestLOGO_2019_last revsd-1.jpg
CGS Shield with Name.png
LOGO.jpg
Rotary Logo_EN21.jpg

Interested in becoming part of our global family?  Email info@theolivebranchforchildren.org

"Fadhili za wengine huonekana wazi katika nyuso za watu ambao wamewasaidia"

Wasiliana na the Olive  branch for children

14-3650 Barabara ya Langstaff # 377
Woodbridge, Ontario, Kanada L4L 9A8

  • facebook
  • instagram
  • YouTube
  • LinkedIn
bottom of page